PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

AyoTV

INASIKITISHA:Mauaji Watoto Njombe “Wanatuwinda kutuuwa”(+video)

on

Wakati hali ya taharuki ikitawala nchini kutokana na visa na mikasa ya mauaji ya watoto mkoani Njombe, Vijana Chipukizi wa CCM wilaya ya Kinondoni wameibuka na kukemea vitebdo hivyo, huku wakisema hawana uhakika wa kesho yao.

Akizungumza na Ayo Tv, Mwenyekiti Chipukizi Kinondoni, Tariq Mohammed amesema kuwa hawana uhakika na maisha ya kesho kutokana na vitendo vya mauaji dhidi ya watoto mkoani Njombe.

Taarifa za kuuwawa kwa watoto wenzetu zinatupunguzia amani, zinatufanya tusiwaamini watu wengine tofauti na wazazi wetu pamoja na kutuongezea hofu watoto tuliopo chama tawala na yanaipunguzia heshima nchi yetu,amesema.

Soma na hizi

Tupia Comments