Habari za Mastaa

Penzi jipya la Dogo Janja lapamba moto, wa-kiss hadharani, wapi Uwoya?

on

Mwimbaji Dogo Janja amechukua headlines kwenye mitandao ya kijamii hii ni ya kusambaa kwa videos zikimuonyesha akiwa na mwanamke asiyefahamika jina na wengi kudai kuwa Irene Uwoya amepinduliwa kwa Dogo Janja, ikiwa mapa sasa wawili hao hawajaweka wazi kuachana.

Je ni kweli mwanamke huyo ni mpenzi mpya wa Dogo Janja? Bonyeza PLAY hapa chini kutazama full video.

PART 5 MISUKOSUKO: “NILIKATA TAMAA, NILIPOTEZA MAWASILIANO NA WAZAZI WANGU”

Soma na hizi

Tupia Comments