Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 5: Mjengo wa Million 400 aliopewa Rosa Ree na Management yake mpya

on

Leo May 29 2018 msanii Rosa Ree rasmi ametambulisha Management yake mpya ambayo makazi yake makubwa ni kutoka South Africa na moja ya vitu ambavyo ni vya kuvutia zaidi ni kupewa Nyumba mbili na hiyo Management yake mpya.

Nyuma hizo moja ipo hapa Tanzania yenye thamani ya milioni 400 na nyingine ipo South Africa sasa millardayo.com inakukaribisha kutazama picha 5 zinazo uonesha mjengo huo wa million 400.

VIDEO: Mjengo wa Million 400 aliopewa Rosa Ree na Management yake mpya

Soma na hizi

Tupia Comments