Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Vitu anavyoruhusiwa na asivyoruhusiwa Lulu kufanya kipindi hiki akitumikia kifungo cha nje

on

Baada ya taarifa kusambaa kuwa muigizaji Elizabeth Michael “Lulu” ameachiwa huru na kumalizia adhabu ya kifungo chake akiwa nje ya gereza na hivyo wengi kujiuliza kifungo cha nje kinakuaje?? Ni vitu gani anaruhisiwa kufanya na kutofanya.

Mwanasheria Jebra Kambole ametoa ufafanuzi wa kisheria kuhusiana vitu anavyoruhusiwa kufanya mfungwa wa kifungo cha nje, bonyeza PLAY kumsikiliza.

BREAKING: Elizabeth Michael ‘LULU’ ameachiwa kutoka gerezani

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments