Tangaza Hapa Ad

Duniani

PICHA &VIDEO: Apple wamezindua Iphone 7 na 7plus, wameainisha utofauti wake na Iphone 6

on

Good news kwa watumiaji wa Iphone, ambapo kampuni ya vifaa vya electronics ya Apple kupitia bidhaa zake za simu  imezindua toleo jipya la Iphone7 na 7plus ambazo zimekuwa zikisubiriwa na wapenzi wa brand hiyo ya simu huko San Fransisco, Carlifonia Marekani.apple-7

phooone

Mwenekano wa nyuma wa Iphone 7

Apple imeainisha utofauti wa Iphone 7 na 7plus kutoka kwenye Iphone6 kuanzia ubora mkubwa wa picha kwenye camera zake, fasta kwenye kuprosess data, na zimekuja katika rangi nyingi tofauti tofauti zaidi ya zile nne za mwanzo. Aidha zina uwezo wa kustahimili maji na kukaa zaidi ya dakika 30 kwenye urefu wa futi3.2, pamoja ukubwa wa memory kuanzia 32GB mpaka 256GB.rangi

Pia Imezindua Airpods ambazo ni wireless sambamba na hilo  zinatumia mfumo mpya wa flash wa (Quad-LED True Tone flash).

earphonesss

Airpods

pods

Bei zake ni kuanzia:

Euro599 kwa Iphone7 ya 32GB mpaka Euro 799 kwa 256GB

Na kwa Iphone 7plus ni kuanzia Euro 719 kwa 32GB mpaka Euro919 kwa 256GB.

KAMA HUJAZIONA BADO NYUMBA WALIZOJENGEWA YAMOTOBAND NA MENEJA WAO SAID FELLA?

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement