Tangaza Hapa Ad

Michezo

Mpango wa Man United kuhusu Ibrahimovic uliyothibitishwa na Mourinho

on

Headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden anayeichezea Man United Zlatan Ibrahimovic kuwa atahama klabu hiyo baada ya mkataba wake kumalizika June 2017 zilizidi kuchukua headlines kabla ya Man United kuonesha msimamo wao.

Zlatan alikuwa akiripotiwa kuwa baada ya kumalizika kwa mkataba wake June 2017, atajiunga na moja kati ya vilabu vya Ligi Kuu Marekani, lakini leo November 23  2016 kocha mkuu wa Man United Jose Mourinho amethibitisha kuwa watamuongezea mkataba wa mwaka mmoja nyota huyo.

screen-shot-2016-11-23-at-5-59-47-pm

Kama utakuwa unakumbuka vizuri Zlatan Ibrahimovic alijiunga na Man United wakati wa usajili wa dirisha kubwa la usajili lililofungwa August 2016 kama mchezaji huru akitokea Paris Saint Germain ya Ufaransa, Zlatan alisaini mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongezewa mwaka mmoja zaidi.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement