Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Video: Yakufahamu kuhusu kujiunga na The Amazing ya Izzo Bizness

on

Mtu wangu ni  kawaida yangu kukusogezea stori zote ambazo zinachukua headlines leo October 22 2016 nakukutanisha na hii  stori kutoka kwa Mkali wa midundo ya Hiphop Izzo Bizness, ameyataja mashariti au vigezo wanavyoviangalia ili kumsaini msanii kwenye lebel yao ya The Amazing, Pia usisahau kuniacjia comment yako haha chini na mkali huyu ataiona hapa

Unajua sisi tunaangalia msanii yeyote mkali The Amazing sio tu Izzo Bizness na Abela, ndio maana nimekwambia hapa sisi tuna team yetu na tuna vigezo vyetu tunavyoangalia na tutawaongeza wasanii sema kwasababu sahivi ndio tumeanza ndio maana naonekana mimi na Abela tu‘>>>Izzo Bizness

ULIMISS HII YA MO MUSIC  ANAMUANGALIA NANI KAMA ROLE MODEL WAKE KWA BONGO ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement