Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

TOP 10: Bado Siku 40 World Cup ianze jikumbushe na magoli bora World Cup 2014

on

Bado siku 40 fainali za michuano ya Kombe la Dunia zianze nchini Urusi ambapo zitashirikisha mataifa 32, presha inazidi kuwa kubwa kwa mashabiki wa soka kushuhudia michuano hiyo inayofanyika mara moja kila baada ya miaka minne, mara ya mwisho ilichezwa nchini Brazil mwaka 2014 unaweza kubonyeza hilo neno la Blue kuona magoli 10 bora yaliofungwa Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil PLAY. 

VIDEO: Mbwembwe za Haji Manara uwanjani baada ya ushindi wa Simba vs Yanga

Soma na hizi

Tupia Comments