PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Habari za Mastaa

Miss Lakezone “Endeleeni kuchamba gari langu, Mimi naendesha nyie mnatembea kwa miguu”

on

Ni time nyingine tena ambapo Ayo TV na millardayo.com zimekaa kwenye Exclusive interview na Miss Lake Zone anayefahamika kwa jina la Sharon Headlam ambaye pia kwenye mashindano ya Miss Tanzania 2018 aliingia kwenye tano bora na kushika nafasi ya Tano.

Sharon ambaye yupo hapa Dar es Salaam amehojiwa haya machache ikiwemo kuhusu gari lake, vipi amekuja nalo mpaka Dar au ni bovu. Bonyeza PLAY kwenye VIDEO hapa chini kutazama.

VIDEO: “Sijaongea yale kutafuta kiki, mimi mwenyewe kiki tosha, siunaona balaa langu” Hamisa Mobetto

VIDEO: “Watu hawajui mimi na Petii tumeachana muda mrefu niko Single”

Soma na hizi

Tupia Comments