Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VIDEO: Mimi naamini asilimia 90 kwamba Instagram ni ya shetani- Justin Bieber

on

Justin Bieber amekuwa mbali na mtandao wa Instagram tangu mwezi August 2016 ambapo alijiondoa rasmi kwenye mtandao huo hali ambayo imesababisha mashabiki wake kumiss kumuona kwenye mtandao huo ambao unamuwezesha mtumiaji kutuma picha pamoja na video.

Akiwa kwenye show yake London aliuliza mashabiki “nani angependa nirudi Instagram? huku mashabiki wakishangilia kwasauti kumaanisha wangependa arudi tena ila Justin alisema hawezi kurudi Instagram kwani anaamini mtandao huo ni wa shetani na unatupeleka kuzimu na hawezi kurudi kwenye mtandao huo.

>>> “Nah, I don’t want to get my Instagram back… I’m sure… I think hell is Instagram. I’m 90 percent sure. We get sent to hell, we get like locked in the Instagram server.” – Justin Bieber

Video: Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama >>>

Video: Hatimae upande wa Lady Jaydee waongea kuhusu Clouds>>>

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement