Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: JB ndio kastaafu kuingiza filamu? tazama alichoongea

on

Jacob Stephen aka JB  Agosti 4, 2016 alichukua headlines kwenye mtandao wake wa instagram baada ya kutangaza kuelekea kuacha kuigiza filamu na kujikita katika kusaidia vijana katika masuala ya kuigiza.

Sasa staa huyo leo Sept 23, 2016 ameipa heshima millardayo.com na Ayo Tv na kuyaongea haya…>>>Nimeanza kuigzatangu mwaka 1998 na hakuna mtu alienishawishi kuacha kuigiza bali ni maamuzi yangu binafsi na ilikuwa ni mipango yangu ya muda mrefu nilijiandaa kufanya hivi ndio maana nilikuwa natengeneza filamu ambazo mimi si shiriki

Nimekaa nyuma ya camera kupitia kampuni yangu ya Jerusalem Film kama producer na director kwenye filamu ya Bado Natafuta, Wageni wangu, yote hayo yalikuwa ni kujiandaa ndio maana naelekea kukaa nyuma ya camera na pia nawahakikishia watanzania nitatengeneza vijana katika tasnia ya filamu’- JB

Itazame hii video hapa uone alichosema JB kuhusu kustaafu kwake kuigiza

ULIKOSA HAYA MAJIBU YA CHID BENZ  KWA WANAOSEMA AMERUDIA DAWA ZA KULEVYA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement