Michezo

Yakufahamu kuhusu MILIONI 300 za Tatu Mzuka

on

Kampuni ya ‘The Network’ kupitia mchezo wao namba moja nchini wa bahati nasibu wa Tatu Mzuka wa ”supa mzuka‘ unafikia ukingoni Jumapili ya week hii ya July 15 2018 kwenye fainali ya Kombe la Dunia ambapo ndio mshindi wa Mil 300 atapatikana.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Tatu Mzuka Sebastian Maganga ameongelea jinsi droo hiyo itakavyokuwa siku hiyo ya fainali la kombe la Dunia na jinsi mshindi atakavyonufaika na timu yake atakayoichagua.

Waandaaji wametaja sababu za kumpa Florida Venance ushindi wa Miss Rukwa 2018

Soma na hizi

Tupia Comments