Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

HEKAHEKA: Baada ya mazishi wanafamilia wakuta mwili wa marehemu chumbani

on

Leo January 17 2017 kupitia Leo tena ya Clouds FM, Geah Habib ametuletea hekaheka kutokea Mbeya ambapo familia moja iliyopata msiba wa mtoto wa miaka 9, mama wa mtoto anasema walienda kuzika lakini cha kushangaza waliporudi nyumbani waliukuta mwili wa marehemu kitandani.

Waliokuwa msibani wamesema hakukuwa na utaratibu wa kuaga mwili wa marehemu bali ilifanyika ibada na safari ya kuelelekea makaburini ilianza na wakazika lakini waliporudi nyumbani walikuta mwili wa marehemu ukiwa chumbani na hapo ndipo sintofahamu ilipoanzia.

Unaweza kubonyeza hapa chini kusikiliza full stori

HEKAHEKA: Baba wa kambo adaiwa kumbaka mtoto wa mke wake, Bonyeza play hapa chini

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement