Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Waziri Lukuvi ametaja maamuzi yaliyochukuliwa katika shamba la Sumaye Mabwepande

on

 

Eneo la shamba ambalo liko maeneo ya Mabwebande linalomilikiwa na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye  ambalo linadaiwa kuwa wananchi walilivamia baada ya kuona haliendelezwi kwa muda mrefu na kuweka makazi katika shamba hilo lenye hekari 33.

Leo October 27 2016 mbele ya waandishi wa habari Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, William Lukuvi, waandishi wamemuliza kuhusu ulipofikia mgogoro wa shamba hilo ambapo alijibu kuwa wameshatoa notice ya kumfutia umiliki wa shamba Sumaye sababu ni kwamba hajaliendeleza shamba hilo, Unaweza kuangalia video hii hapa chini.

ULIKOSA HII YA WAZIRI LUKUVI KUTOA MIEZI MITATU KWA WANAOMILIK ARDHI DSM KUTEKELEZA HAYA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement