PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Kenyatta ametia saini sheria ya makosa ya mtandaoni, faini MILIONI 100

on

Leo May 16, 2018 Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametia saini mswada wa Sheria ya Uhalifu wa Kompyuta na Mtandaoni ya mwaka 2018 kuwa Sheria, hatua hii itatoa adhabu kali kwa watakaopatikana na makossa ya mtandaoni.

Sheria hiyo inatoa adhabu ya faini ya Milioni 100 (dola 50,000 za Marekani) au kifungo cha miaka miwili jela, au adhabu zote mbili, kwa atakayepatikana na kosa la uenezaji wa habari za uzushi.

Mtu atakayepatikana na kosa la kueneza taarifa ambazo zinaweza kuzua taharuki au kuzua vurugu atafungwa jela zaidi ya miaka kumi.

BREAKING: Rais JPM ashtukiza Bandarini sakata la mafuta ya kupikia

 

Soma na hizi

Tupia Comments