Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Kocha wa Simba ametaja Kikosi kitakachoanza leo Taifa

on

Leo February 11, 2108 Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba inategemea kuingia uwanjani kucheza na Gendamarie Tnale kutoka Djibouti katika Kombe la Shirikisho barani Afrika nimekipata kikosi cha Simba kilichotolewa na Kocha Pierre Lechantre.

KOCHA NSAJIGWA BAADA YA YANGA KUPATA USHINDI WA 1-O VS ST LOUIS

 

Soma na hizi

Tupia Comments