Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

“Mwanaume lazima, umpige mke wako” -Mbunge

on

Leo March 12, 2018 stori nayokusogezea ni inayomhusu Mbunge wa Uganda ambae amewaacha watu wakishangaa baada ya matamshi yake yaliyoonekana kuunga mkono wanawake kupigwa na waume zao.

Twinamasiko Onesimus, anaewakilisha jimbo la Bugangaizi Mashariki amesema manaeno hayo yakushangaza akiwa katika mahojiano na kituo cha televisheni cha NTV Uganda.

“Kama mwanaume lazima umuadhibu mke wako mguse kidogo, mkamate na umnyooshe vizuri”

Wema Sepetu na Mama yake Mahakamani kwa mara ya kwanza toka arudi CCM

Soma na hizi

Tupia Comments