Top Stories

PICHA: Rais Erdogan ahudhuria harusi ya aliekuwa staa wa Barcelona Turan

on

Leo March 13, 2018 Mchezaji staa wa soka kutoka Uturuki alietoka katika timu ya Barcelona na kuhamia timu ya Başakşehir  ya Uturuki Arda Turan amefunga ndoa na Aslihan Doğan.

Mchezaji huyo amepost picha katika mitandao ya kijamii akionyesha jinsi harusi yake ilivyokuwa 

Rais wa Uturuki Erdoğan alihudhuria pia harusi hiyo ilioandaliwa na kuwatakia maisha mema. Arda Turan ametoa shukrani kwa watu wote waliomtakia ndoa njema.

WATUHUMIWA 61 WA UGAIDI ARUSHA MAHAKAMANI 

Soma na hizi

Tupia Comments