Top Stories

Bonyeza hapa kutazama nafasi za Ajira jeshi la polisi na vigezo vyake

on

Leo April 16, 2018 Jeshi la Polisi nchini linatangaza nafasi za ajira kwa mwaka 2017/2018 kwa vijana waliopita mafunzo ya JKT/JKU ambao wamemaliza mafunzo ya awali katika operesehi Kikwete na Operesheni Magufuli wenye elimu ya kidato cha nne, cha sita, astashahada, stashahada, shahada ya juu.

TAHADHARI kwa wanaotumia Barabara zilizopo mkoani Pwani

Soma na hizi

Tupia Comments