Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Alikiba kazungumza kutotembea na Mkewe usiku, Yanga kukosa ubingwa

on

Leo May 15, 2018 Alikiba ni miongozi mwa wageni waliohudhuria uzinduzi wa kurusha matangazo ya kombe la Dunia LIVE katika vituo vya TV1 na TBC ambapo amezungumza kuhusu kutotembea na Mkewe Amina usiku pamoja na Klabu yake anayoishabikia ya Yanga kukosa ubingwa.

Alichokizungumza Canavaro kabla ya Yanga kucheza na Rayon Sports May 16

Soma na hizi

Tupia Comments