Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Ni kweli Johari anataka kugombea ubunge 2020?

on

Muigizaji mkongwe wa Bongo movie mwanadada Blandina Chagula maarufu kama ‘Johari’ amezichukua headlines baada ya kueleza malengo yake makubwa na mabadiliko anayotaka kufanya miaka ijayo hususani yeye kuingia kwenye siasa mwaka 2020.

Camera za Ayotv na Millardayo.com zimeweza kunasa sauti ya mwandada huyu pale alipoelezea kutaka kugombea ubunge mwaka 2020 na ameongea haya.

>>>’ Ya ni kweli, mimi kama mwanamke vitu vinavyowapata wanawake naskia uchungu ya hapa naelimisha jamii lakini pia kuna vitu ambavyo vinanigusa natamani serikali ikae kwa undani iviangalie na iweze kuwasaidia kwasababu kuna wanawake wanakaa vijijini wanapata shida, wengine wanabeba mimba za utotoni so mimi kama mimi ntakapogombea ntatetea zaidi haki za wanawake‘ – Blandina chagula ‘Johari’

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA STEVE NYERERE KUINGIA RASMI KWENYE STAND UP COMEDY ? UNAWEZA UKAITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement