Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 10: Muonekano wa studio mpya ya msanii kutoka Bongoflevani

on

Ni Sept 22, 2016 ambapo msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda anaziandika headlines baada ya kufungua studio yake mpya aliyoipa jina la Last Born Records, ambayo itahusika kurekodi kazi za wasanii.

Nuh Mziwanda anaingia kwenye list ya wasanii wanaomiliki studio huku akiwemo, Barnaba, Professor Jay, Diamond Platnumz, Dully Sykes, Nahreel, Bob Junior, Nay wa Mitego na wengineo.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

aw1a0053

.

ULIIKOSA HII YA TEAM WEMA WALIVYOMSUPRISE WEMA SEPETU MKOANI TANGA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement