Biko


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

BREAKING: Hatimae upande wa Lady Jaydee waongea kuhusu CLOUDS

on

Lady Jaydee na Clouds Media Group hawakuwa kwenye uhusiano mzuri kwa kitambo na hii ilipelekea mpaka kesi Mahakamani na Clouds ikashinda kesi

Sasa habari kubwa ya November 30 2016 ni kauli ya Management ya Lady Jaydee ikiwa ni baada ya Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Ruge Mutahaba kusema kwamba nyimbo za Jide zinaweza kuendelea kupigwa iwapo yeye mwenyewe ataruhusu maana alikataza na jina lake lisitajwe.

Uongozi unaomsimamia Lady Jaydee umemuandikia Mtangazaji Millard Ayo tamko rasmi baada ya hiyo kauli ya Ruge Mutahaba, bonyeza play hapa chini kuipata taarifa yote

FULL INTERVIEW: Bonyeza play hapa chini kupata kila kitu alichokisema Ruge Mutahaba kuhusu Lady Jaydee, Ruby na mengine.

VIDEO: Tazama nyumba 1500 zinazojengwa Kigamboni na milionea Mtanzania aliyeishia darasa la 7, bonyeza play kwenye hii video hapa chini kutazama kila kitu 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement