Premier Bet

Top Stories

Askari waliotajwa kwa JPM kula rushwa wafikishwa Mahakamani (+video)

on

Muajiriwa wa TRA, Charity Ngalawa, Askari Polisi H 4086 PC Simon Sungu na Askri Polisi H 4810 PC Ramadhn Uweza kutoka Kituo cha Polisi Oysterbay wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kosa moja la kushawishi rushwa ya Milioni 2.

Watuhumiwa hao wamefikishwa mahakamani hapo na TAKUKURU baada ya kutajwa na Wafanyabiashara walipokuwa kwenye mkutano wa Rais John Magufuli Juni 7, 2019.

MAGUFULI “HUYU MKURUGENZI ALIPIGA SIMU NIKAMTUKANA, KITU CHA AJABU KIPUMBAVU”

Soma na hizi

Tupia Comments