Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Fununu za John Mnyika kuhamia CCM zazidi kupaa

on

Kumekuwepo na gumzo mitandaoni kwamba Mbunge wa Kibamba kwa Tikect ya CHADEMA John Mnyika anahamia kwenye Chama cha Mapinduzi CCM hivi karibuni na sasa gumzo linaendelea.

Kada wa CCM Jerry Muro kapost picha ya John Mnyika na Rais Magufuli na kuandikaWanakuita mvulana, basi nenda kwa Baba ukadeke kidogo kule ulikua unakomazwa tu, #safarimojamatata

AyoTV na millardayo.com zinaendelea kumtafuta John Mnyika ili kupata ya upande wake kuhusu taarifa hizi

Fununu hizi zimekua zikienea toka wiki iliyopita ambapo kwenye Twitter ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kuliandikwa yafuatayo kama inavyoonekana hapa chini

VIDEO: C.U.F wazungumzia Mbunge wao wa Kinondoni kujiuzulu na kuhamia CCM, bonyeza play hapa chini kutazama mwanzo mwisho

POLEPOLE: “WEMA ABAKI HUKOHUKO” + EXCLUSIVE AUDIO…. BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments