Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA 24: Mazishi ya Waziri mstaafu Joseph Mungai

on

Mamia ya wananchi pamoja na Viongozi wa Serikali, wameungana na familia katika mazishi ya aliyewahi kuwa Mbunge na waziri wa zamani, Joseph Mungai yaliyofanyika November 12 katika mji wa Mafinga wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa.

Mungai aliwahi kuwa mbunge wa Mufindi kupitia CCM na aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini katika awamu ya kwanza hadi ya nne akiwa waziri wa Elimu na Utamaduni, Waziri wa kilimo na Maendeleo, waziri mambo ya ndani, na alifariki dunia November 8 2016. 

Nimekuwekea picha za viongozi mbalimbali wa kiserikali na wananchi walivyoshiriki mazishi katika jimbo alilowahi kuliongoza Mufindi mkoani Iringa.

william-vangimembe

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi

tundulisu-na-kandoro

Abbas Kandoro na Tundu Lissu (MB)

mkuu-wa-wilaya-ya-iringa-na-mbunge-jah-peolpe

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini, Kasesela (Kulia) na Deo Sanga (MB)

kannali-kitta rita-kabati-geofrey-mgimwa

jimy-mtoto-wa-pili-wa-mungai img_3744 img_3712 img_3707 img_3703

img_3696 img_3685 img_3684 img_3681 img_3678 img_3654 img_3652 img_3642 img_3634

img_3625 img_3577 dc-kasesela-akiaga sugu-kasesela-na-venanc-mwamoto-mbundge-wa-kilolo

VIDEO: Waziri Lukuvi anayo maneno mazito kuhusu marehemu Joseph Mungai. Unaweza kuitazama Video hii

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement