Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Kocha wa Simba amesema hajaridhishwa leo

on

Ligi Kuu Tanzania bara imeendelea leo Jumapili ya May 6 2018 wekundu wa Msimbazi Simba walikuwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam kuikaribisha Ndanda FC kucheza mchezo wao wa 27 wa Ligi Kuu msimu wa 2017/2018.

Licha ya ushindi ya Simba kupata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Emmanuel Okwi dakika ya 44 ya mchezo, kocha wa Simba raia wa Ufaransa Pierre Lechantre amesema hajaridhika na game ya leo licha ya kuwa amefanikiwa kupata point tatu.

VIDEO: Emmanuel Okwi hawezi kupata presha kwa rekodi ya Tambwe VPL

Soma na hizi

Tupia Comments