PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Ishu ya Mwasiliano:TCRA watoa onyo “Wasigawe namba nje ya utaratibu” (+video)

on

Tunayo story kutokea Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambapo imezitaka kampuni za kutoa huduma za mawasiliano nchini kutoa huduma zao kulingana na ruhusu ama mipaka iliyopo katika ya leseni zao.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa Sheria wa TCRA, Joannes Karungura amesema kampuni hizo hazipaswi kugawa masafa kinyume na mipaka na wasigawe namba kinyume na utaratibu wala kudalalia kinyume na utaratibu wa TCRA.

Atakayegawa namba, leseni ama masafa tuna ujuzi wa hali ya juu na tukimkamata hatutakuwa na huruma bali tutawafikisha katika vyombo vya sheria,” amesema.

AISEE! NGASSA NA MKENYA WAFIKISHWA MAHAKAMANI KISA MIL.60

 

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments