Tangaza Hapa Ad

Lema baada TAKUKURU kuukataa ushahidi wa Nassari


Jana baada ya Msemaji wa TAKUKURU Musa Misalaba kutoa taarifa ya kutokuendelea na ushahidi walioutoa Mbunge Godbless Lema na Joshua Nassari wa Arumeru Mashariki  kwa madai ya kulihusisha jambo hilo na Siasa.

leo Mbunge wa Arusha mjini Godbles Lema ameita waandishi na kuzungumzia suala hilo. “Hii ni dhahiri sasa kwamba katika nchi hii kuna watu ambao wanaweza kushikiliwa na mkono wa sheria na kuna watu hawawezi kushikiliwa,” – Lema

MAJIBU YA TAKUKURU KUHUSU KUMSHIKILIA MKURUGENZI WA NHC ALIYESIMAMISHWA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement