Tangaza Hapa Ad

AyoTV

EXCLUSIVE: Joseph Kimwaga baada ya kurudi Azam FC

on

Club ya Azam FC tayari imerejea Dar es Salaam ikitokea Uganda ilipokuwa inacheza michezo ya kirafiki kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2017/2018, kama hufahamu Joseph Kimwaga amerejea Azam FC club ambayo ilimlea.

Joseph Kimwaga anarejea Azam FC baada ya miaka kadhaa toka aondoke akaenda kucheza soka katika club ya Simba SC na baadae Mwadui FC ya Shinyanga, vipi amerejea tena Azam FC na ameichezea mechi za kirafiki anauona utofauti upi baada ya kurejea? alikuwa ana miss nini alivyoondoka?
“Tofauti niliyoikuta Azam FC baada ya kurejea ni kuwa ushindani bado ni mkubwa zaidi na kwa aina ya mwalimu tuliye nae anahitaji mtu anayejituma sana, hivyo sio kitu rahisi mwalimu haangalii jina lako au nafasi ila anachoangalia ni uwezo wako” >>> Kimwaga


VIDEO: Ushindi wa Simba vs Rayon Sports, Simba Day 8 2017 Full Time 1-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement