Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Watu wanne wamekamatwa Arusha kwa kumteka Mwandishi wa habari

on

Leo May 15, 2018 Taarifa nyingine kutoka Arusha ni kumhusu mwandishi wa habari wakujitegemea Lucas Myovela ambaye anadaiwa alitekwa na kudhalilishwa May 13 na wafanyakazi katika Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha.

Kingine cha kufahamu ni kwamba Jeshi la polisi limethibitisha kuwashikilia watu wanne ambao wanadaiwa kuhusika na tukio hilo.

Mwandishi wa Habari asimulia alivyotekwa na wafanyakazi wa Ofisi ya RC Arusha

Soma na hizi

Tupia Comments