Habari za Mastaa

Wizkid kawashangaza mashabiki kwa jambo hili

on

Ipate hii kuhusiana na staa wa muziki kutokea Nigeria mwenye umaarufu mkubwa ndani na nje ya bara la Afrika Wizkid”Starboy” ambaye kupitia ukurasa wake wa twitter ameweka wazi kuhusu ziara yake ya muziki mpaka 2021.

Staa huyo ambaye amevunja rekodi hivi karibuni baada ya kuujaza uwanja wa O2 Arena Jijini London May,2018 amesema kuwa ratiba ya kufanya show imejaa kwa miaka mitatu mfululizo hii ni baada ya kuandika “Booked for 3 years”

Ikumbukwe tu 2017 Wizkid alijikuta akiachilia mbali baadhi ya shows kutokana na matatizo ya kiafya aliyoyapata na hivyo kwa mujibu wa daktari wake alidai kuwa hali hiyo ilisababishwa na uchovu  pamoja na kukosa muda wa kupumzika.

“Kila Mtanzania kumiliki nyumba yake’ -Shirika la nyumba la taifa NHC

 

Soma na hizi

Tupia Comments