Habari za Mastaa

Ilivyokuwa studio Sam wa Ukweli akirekodi wimbo wake kabla ya kifo

on

Producer Steve aliyetaarisha wimbo wa marehemu Sam wa Ukweli kaendelea kuhadithia historia ya wimbo huo ambao marehemu alikuwa akirecord mpaka mauti kumkuta ambapo amesema Sam alikuwa akirecord wimbo huo huku akiimba kwa hisia sana mpaka machozi kumtoka kitu kilichowafanya waliokuwepo studio wasimuangalie.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza Producer STEVE akielezea..

VIDEO: Sam wa Ukweli afariki Dunia..

FULL STORY: Kifo cha Sam wa Ukweli aliomba afungwe Pampers

Soma na hizi

Tupia Comments