DSTV


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

BREAKING: Mbunge Joshua Nassari arudi tena TAKUKURU

on

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari leo October 4 2017 amefika tena makao makuu ya taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa ‘TAKUKURU’ kwa ajili ya kuwasilisha ushahidi wa pili wa Madiwani 10 waliohama CHADEMA wanaodaiwa kupewa rushwa.

Uliikosa hii ya kauli ya Nassari, Lema na Msigwa baada ya kufikisha ushahidi TAKUKURU? Unawza kuiangalia hapa chini

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement