Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 17: Jacqueline Mengi katuletea biashara ya Furnitures… ubunifu wake mwanzo mwisho

on

Ujazo wa jina lake Jacqueline Ntuyabaliwe ulianza kuongezeka toka aliposhinda Miss Tanzania mwaka 2000 na sasa anatumia Jacqueline N. Mengi baada ya kuolewa na mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi.

Habari nzuri aliyotuletea Jacqueline September 15, 2016 ni hii ya duka lake jipya lililopo Seacliff Masaki Dar es salaam ambalo humo ndani zinauzwa Furniture mbalimbali za kuvutia yani utakutana na vitanda, viti, makochi na vingine kwenye uwanja huo.

Amorette ndio duka lenyewe na ni kampuni yake aliyoianzisha miaka michache inayodili na kufanya Interior designing lakini sasa kaleta brand ya Molocaho ambayo inadili na Furniture mbalimbali za ubunifu wake Jacqueline mwenyewe.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

ULIIKOSA HII YA SHETTA ALIVYOWAHI KUOSHA GARI LA STAA WA BONGO FLEVA? BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement