Habari za Mastaa

Priyanka Chopra afunga pingu za maisha na Nick Jonas (+video)

on

Muigizaji kutokea Bollywood India Priyanka Chopra (36) tayari amefunga pingu za maisha na Mwigazaji na Mwimbaji Nick Jonas(26) kutokea Marekani siku ya December 1,2018 nchini India ambapo ndoa hiyo ilihudhuriwa na watu wa karibu wa wawili hao.

Inaelezwa kuwa wawili hao wamefunga ndoa mbili ikiwemo moja ya Kikirsto ambayo inawasilisha upande wa Mwanaume na nyingine ni ya Kimila Hindu ambayo ni upande wa Priyanka Chopra iliyofungwa kwenye nyumba ya kifahhari ya Umaid Bhawan Palace.

Miss Tanzania ni miongoni mwa wanaotajwa kunyakua taji la Miss World

Soma na hizi

Tupia Comments