Tangaza Hapa Ad

Mix

Tuzo mbili za ubunifu kutoka Italy alizopewa Jacqueline Mengi

on

Good news nyingine leo ni hii ya tuzo mbili za ubunifu alizopewa Mtanzania Jacqueline Mengi ambaye aliwahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2000 na sas ameamua kuwa mfanyabiashara wa Furnitures za kisasa zinazobuniwa kwa kiasi kikubwa hapa hapa Tanzania.

Jacqueline ametunukiwa tuzo hizo mbili kutoka Italy zikiwa ni za Furnitures zenye ubunifu wa kipekee na Taa zenye utofauti.

VIDEO: Ulipitwa na hili duka la Furnitures alilofungua Jacqueline Mengi? Tazama hapa chini

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement