Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Majibu ya Joti baada ya kudaiwa kuwa mapenzini na Gigy Money

on

Baada ya Mtangazaji wa ChoiceFM, Gigy Money kuonekana akimpost mchekeshaji Joti na kufuta picha zote za mpenzi wake Mo J na alipoulizwa na Soudy Brown kwenye U heard iliyopita alikiri kuwa mapenzini na Joti.

Sasa leo February 10 2017 kupitia XXL ya clouds FM, Mtangazaji Soudy Brown kwenye U heard amepiga stori na Joti ili kuujua ukweli, haya yalikuwa majibu yake.

Mimi kwa heshima ambayo nimeitengeneza na watu wangu ninaofanya nao kazi  halafu wewe unataka kuiharibu kwa mara moja, huyo Gigy unayemzungumzia picha ambazo amepost umeona picha ambayo mimi nafanya nae mapenzi?”

“Mimi siilewi…………mimi nina mke wangu, nina familia yangu, mbona unataka kuniweka kwenye maisha ambayo wanaishi watu, mimi siishi huko’ – Joti

Bonyeza play kupata Full Stori

 EXCLUSIVE: Orijino Komedi vipi? Q Chief kaitwa WCB.. ushauri wa Chilambo, Bonyeza play hapa chini

Ili usipitwe na Breaking NEWS zote za Tanzania na nje ya Tanzania, matukio ya habari za mastaa, michezo na mengine, usiache kujiunga na Millard Ayo kwa ku-subscribe Youtube jina la “millardayo” pia Install APP ya “millardayo” kwenye Android na IOS, Facebook, Twitter na Instagram @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement