Top Stories

JPM IKULU: “Lowassa hakuwahi kunitukana hata siku moja” (+video)

on

Gumzo la leo ni kwenda Ikulu kwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania ambae alikua Mpinzani wa Rais Magufuli kwenye kuwania Urais mwaka 2015 Edward Lowassa ambapo amepokelewa na mwenyeji wake Rais JPM.

Najua wengi tumeona video ya Lowassa akiongea baada ya kufika IKULU lakini hatujaiona ya Rais Magufuli mwenyewe, bonyeza play hapa chini kuona yote aliyoyaonga JPM baada ya kutembelewa na Lowassa.

BREAKING: Edward Lowassa amfata Rais Magufuli IKULU….. bonyeza play hapa chini kuitazama video mwanzo mwisho

Soma na hizi

Tupia Comments