Tangaza Hapa Ad

Mix

Rais Magufuli kaongea leo kuhusiana na ishu ya dawa ya kulevya iliyoibuka

on

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli leo February 6 amezungumza haya machache kuhusu ishu ya dawa za kulevya ambayo imeibuka juzi kwenye headlines baada ya Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda kutaja orodha.

Rais ameyazungumza hayo wakati akitoa hutuba fupi kwenye zoezi la uwapishwaji wa Jenarali Venance Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania.

VIDEO: Nape Nnauye atoa mtazamo wake kuhusu njia iliyotumika kuwataja Watuhumiwa wa dawa za kulevya

VIDEO: Wema Sepetu, T.I.D na wengine walivyoingia Polisi kutii wito wa kuitwa na Paul Makonda, tazama kwenye hii video hapa chini

FULL VIDEO: Paul Makonda akieleza kilichoendelea na kinachofatia kuhusu ishu ya dawa za kulevya, bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement