Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Rais Magufuli alivyohoji Mahakimu 28 walioshinda kesi za jinai TZ

on

February 2 2017 imeadhimishwa siku ya sheria ambayo ndio mwaka mpya wa Mahakama kuashiria kuanza kazi kwa Mahakama na mgeni rasmi alikuwa Rais Magufuli ambaye alihoji kuhusu Mahakimu 28 ambao walifunguliwa kesi za jinai nyingi zikiwa za rushwa na kushinda kesi hizo, alihoji je ni kweli kuwa hakufanya makosa hayo, kesi ilikosewa kufunguliwa? au ?

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement