Breaking News

Rais Magufuli apiga marufuku michango ya aina zote Shule za Serikali (+video)

on

Kutoka IKULU leo January 17 2017 Rais John Pombe Magufuli ametangaza kupiga marufuku aina zote za michango kwenye Shule za msingi na Sekondari za Serikali, awaagiza Mawaziri Ndalichako na Jafo kusimamia agizo hilo…. mtazame zaidi akiongea kwenye hii video hapa chini

MAGAZETI LIVE: Sitanyamaza…. Polisi wakamata wavaa vimini, kunyoa kiduku…. BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments