Tangaza Hapa Ad

Mix

MAGAZETI: Mkono wa JPM waondoka na watu 100, Shule 34 zafundisha kuiba mitihani

on

AyoTV kila asubuhi inakuletea uchambuzi wa magazeti ya Tanzania kuhakikisha zote kubwa za siku unazipata,  miongoni mwa hizo ni pamoja na hizi kutoka gazeti la Mwananchi zenye kichwa cha habari ‘Mkono wa Dk Magufuli waondoka na watu 100 na habari nyingine kutoka gazeti hilohilo la mwananchi yenye kichwa cha habari Shule 34 zafundisha kuiba mitihani, unaweza kuangalia uchambuzi wa magazeti kwenye hii video hapa chini.

ULIKOSA HII TAARIFA YA ALIYETOBOLEWA MACHO BUGURUNI KUTOWEZA KUONA TENA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Tupia Comments

Advertisement