DSTV

Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Kitu Rais Magufuli amewaambia Watanzania wanaoishi Uganda

on

“Niwaombe nyinyi elfu 45 mlioko huku muwashawishi Watanzania wengine walioko Tanzania na nchi nyingine waje waanzishe viwanda angalau tuanze tu kwa viwanda vya madawa kwasababu madawa yote yananunuliwa na Serikali”

“Juzi tulikua pale Mwanza tumefanikiwa kuzindua kiwanda kimoja mtu alikua na ka-Pharmacy kake ameanzisha kiwanda, kwenye mwaka mmoja tu ameshalipwa BILIONI 22 na anasema tangu aanze hajawahi kupata faida ya aina hiyo” – JPM

MAGAZETI LIVE: Mapya ya BILIONEA wa nyumba za Lugumi, Gumzo Dr. Slaa kuajiriwa Super Market, Wabunge CCM UKAWA waibana Serikali.

UNAZITAKA BREAKING NEWS FASTAFASTA? Jiunge na Reporter wako Millard Ayo kwa kubonyeza kifuatacho SUBSCRIBE >>> YOUTUBE , APP YA MILLARD AYO, FACEBOOK , INSTAGRAM

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement