Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VideoFUPI: Baada ya kudaiwa wameachana, Wolper amepost hii ya Harmonize

on

Baada ya kuwepo taarifa kwamba Jackline Wolper na Harmonize wameachana na hilo likipewa nguvu na post ya Wolper iliyoonesha hakuwa na mpango wa kuendelea tena na uhusiano wake na Harmo, leo January 27, 2017  Wolper amepost picha ya Harmonize ikiwa na maneno “Done”.

Kwenye video hiyo Harmonize anasikika akiimba wimbo wa Rich Mavoko “Ibaki Story” huku akimtaja Wolper kwenye mashairi yake, sasa kwa mujibu wa post ya Wolper inaonesha kuwa hayuko tayari kurudiana na Harmonize.

Done ??

A video posted by Jacqueline Wolper (@wolperstylish) on

VIDEO: Maneno ya Harmonize kuhusu kuachana na Wolper, Bonyeza play kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement