Tangaza Hapa Ad

Mix

Maneno ya Jeshi la Polisi kuhusu kumwachia Afande Sele

on

Kama zilIkupita headline za msanii mkongwe wa Bongoflevani Afande Sele kukamatwa na Jeshi la Polisi huko Morogoro August 31 2016 kwa kosa la  kuhamasisha watu kufanya mandamano ya ukuta September mosi, Leo September 3 2016 Afande Sele ameachiwa kwa dhamana Polisi wametoa kauli hii kuhusu kuachia kwake.

Millardayo.com na Ayotv inakusogezea Audio ya maneno ya Polisi Morogoro walichokisema kuhusu kuachiwa kwake huko.

>>>” Amepewa dhamana kwahiyo yupo nje kwa dhamana na uchunguzi unandelea tunazidi kukusanya ushahidi, na tutakapokamilisha ushahidi tutamfikisha mahakamani

ULIKOSA KUISIKILIZA AUDIO YA MANENO YA POLISI MOROGORO BAADA YA KUMKAMATA AFANDE SELE? UNAWEZA KUISIKILIZA AUDIO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement