Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Time ya kuenjoy na ‘Sweet Mangi’ aliyoifanya mchekeshaji Joti

on

Msanii wa vichekesho kutokea kundi la Original comedy Lucas Mhuvile maarufu ‘Joti‘ amekuja na hii video ya wimbo wa ‘Sweet Mangi‘ ambayo ni ngoma ya msanii Nikki wa pili lakini time hii Joti kaifanyia remix. Ukiitazama unaweza kudondosha comment yako chini kuniambia jamaa ametisha kwa asilimia ngapi.

ULIIKOSA HII YA JK COMEDIAN ALIVYOZIIGIZA SAUTI ZA ORIGINAL COMEDY

Soma na hizi

Tupia Comments