Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Diamond kurekodi na staa mwingine wa Marekani?

on

Ni Headlines za Diamond Platnumz ambae kwasasa bado yuko nchini marekani kwenye maandalizi ya video ya single yake mpya aliyomshirikisha Neyo.

Sasa basi huenda kupitia nyimbo zake zimempa nafasi ya kujulikana kimataifa hasa ulaya na marekani ambapo leo September 5, 2016 kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amepost picha akiwa na staa wa hit single ya ‘Down in the DM’ Yo Gotti na kuyandika…>>>One of the Real G have ever met…. can’t wait for our Record….Let’s go get em fam’

One of the Real G have ever met…. can’t wait for our Record….Let’s go get em fam!? @Yogottikom

A photo posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

ULIIKOSA HII YA DIAMOND ALIVYOKUTANA NA MCHEKESHAJI KELVIN HART  MAREKANI NASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Tupia Comments

Advertisement