PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

AyoTV

Majibu ya Serikali kuhusu Walimu wa Sekondari kufundisha msingi

on

Baada ya kuenea kwa taarifa za malalamiko kutoka kwa baadhi ya watu ikiwemo mitandaoni kwamba Serikali imekuwa ikiwaonea Walimu kwa kuwahamisha kufundisha shule za sekondari na badala yake kuwapeleka kufundisha shule za msingi huku ikiwanyima baaadhi ya stahiki zao kulingana na taaluma zao. Leo Ayo TV imefika ofisini kwa Naibu Katibu Mkuu-Elimu Ofisi ya Rais-TAMISEMI Tixon Nzunda ambaye ameyakubali kuyajibu maswali yote.

Sababu za Viongozi wa ACT Wazalendo kuhamia CCM

Soma na hizi

Tupia Comments