Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

VIDEO: Mtangazaji wa Ennahar TV amwaga machozi Algeria ikitinga nusu fainali AFCON

on

Timu ya taifa ya Algeria July 11 2019 ilicheza mchezo wake wa robo fainali ya AFCON 2019 dhidi ya Ivory Coast na kufanikiwa kuingia nusu fainali kwa ushindi wa penati 4-3, hiyo ni baada ya dakika 120 kumalizika wakiwa wamefungana sare ya goli 1-1.

Baada ya penati iliyowapa ushindi kufuatia mchezaji wa Ivory Coast kukosa mtangazaji wa kituo cha TV cha Ennahar TV cha Algeria  Kamel Mahoui akiwa Media Stand (Sehemu wanayokaa waandishi wakati wa mechi) alimwaga machozi kwa furaha wakiwa hawaamini kilichotokea, Algeria wanaamini huu ni mwaka wao na wanaweza kutwaa taji hilo kwa mara ya kwanza baada ya miaka 29 (1990).

VIDEO: Kinachomfanya Bongo Zozo asite kuomba uraia wa TZ, Maisha yake?

Soma na hizi

Tupia Comments